mashine 138 za kamari zawachina mbaloni



Wachina hao wamekamatwa mkoani Dodoma walikokuwa wakisambaza mashine hizo bila ya kibali na pia Wanatuhumiwa kutoa rushwa ya shilingi milioni 1 kwa Askari wa Jeshi la Polisi ambao pia.inaripotiwa kukamatwa

chanzo jamii forum

Comments