jifungulie akaunti yako mpya ya kijanja

Kama ulikua unaona watu wakimiliki akaunti kama Gmail,Hotmail,Yahoo n.k nawewe umekua ukihitaji kufungua moja wapo kati ya hizo lakini umekua ukishindwa usijali leo nakuwekea njia rahisi ya kufungua akaunti yako binafsi.

Hii inawezekana kwa kutumia sever za bure kabisa. LEO tutafungua HOTMAIL ACCOUNT

ILI kufungua hotmaili akaunti kwanza ingiza hiyo anuani (url) hii https://outlook.live.com/owa/  itafunguka kama inavyoonekana hapo chini


Baada ya kufunguka BOFYA  hapo kwenye create account ikifunguka itakua na muonekano huu hapo chini  
 









ili kutengeneza akaunti yenye muonekano wa HOTMAIL itakulazimu kabadilisha kwa kubofya sehemu niliyozungushia hapo kwenye picha nakuchagua hotmail halafua unaingiza jina unalotaka kutumia kama email username yako 
mf: audaxdenis unabofya next itafunguka kuleta sehemu ya kuweka password utajaza password zako unazotaka kutumia wakati wa kuingia kweneye email yako kama inavyonekana hapo chini











Kisha itakuhitaji kujaza taarifa zako muhimu kama

  1. jina la kwanza
  2. jina la pili
kama inavyonekana hapo kwenye picha chini
halafu unaendelea mbele kweneye next 



katika hatua nyingine kama inavyoonekana chini utahitajika kujaza taarifa nyingine kama

  1. tarehe,
  2. mwezi na 
  3. mwaka wa kuzaliwa
  4. nchi yako
halafu songa mbele kwa kubofya next











Katika hatua hapa chini kuelekea mwishoni kabisa utakutana na sehemu ya udhibitisho utahitajika kuandika hayo maneno unayoyaona kwa kuyajaza kwenye kibox chini yake ili kampuni ya hotmail kujihakikishia kua anaefungua akaunti ni mtu kweli? hakikisha unayajaza kwa usahihi











Ukimaliza kuyaingiza kwa usahihi itakupeleka kwenye hatua tatu za mwisho ukikosea utapewa nafasi ya kuyarudia au unaweza kuchagua neno jipya kwa kubofya sehemu imeandikwa NEW pembeni yake.
katika hatua hii ya chini utahitajika kubofya kweneye mshale uliopo kulia na kusonga mbele kama inavyoonekana kwenye hizo picha chini
























Kama unavyoona hapo kwenye picha ya mwisho ni hatua ya mwisho kabisa ikifungua itakuandikia neno get started  HALAFU UTAKUA UMEIPATA AKAUNTI YAKO MPYA KABISA YA HOTMAIL kama inavyoonekana hapo chini










Unaweza kumtumia mtu email yako nakuendelea kutumiana taarifa zote kama vile

  1. barua
  2. picha
  3. video
  4. ramani n.k
Usiache kufollow blog yangu na kukoment ili kupata taarifa zote za darasa
UKIWA NA JAMBO LIMEKUSUMBUA KIMTANDAO LIWEKE KWENYE COMMENT NITALIWEKA HAPA BAADA YA KULIFANYIA KAZI.

Comments

Popular posts from this blog

Rangi za plate namba na maana zake Tanzania

Ijue zaidi biashara ya juice

Namna unavyoweza kutengeneza biashara kubwa kwa kuanzia mtaji mdogo wa shilingi 10000