Kuondoa app zilizotengenezwa moja kwa moja kwenye simu Na kuzuiwa kuondolewa
Mara nyingi watu tumekuwa tukitamani kuondoa baadhi ya app zilizopo kwenye simu lakini ukigusa ili kuondoa hazileti option ya uninstall hivyo kukufanya tukae Na app ambazo hatyzitaki
Lakini kwakuwa teknolojia ipo mikononi mwetu watu wameiona hiyo kuwa kama fursa baada ya kugundua hitaji la watu.
Wameamua kutengeneza app anayotuwezesha ku root simu yako Na kuamua kuitumia bila vipigamizi vya walioitengeneza.
Kuna app nyingi wametengeneza lakini mimi nakuja Na app moja makini sana inayojulikana kama kingoroot
App hii inakuwezesha kuondoa app zote zinazokusumbua baada tu ya kuroot simu yako
UNACHOHITAJI KUFANYA
Pakua app ya kingoroot I run kwenye simu root simu yako halafu nenda kaondoe app usiyoipenda kwenye app yao itakayojiweka automatic kwenye screen
Unaweza kuipata app hiyo kama unapata shida kupitia WhatsApp namba +255762125819
Na kama unakwama usisite kuuliza
Comments
Post a Comment