Namna unavyoweza kutengeneza biashara kubwa kwa kuanzia mtaji mdogo wa shilingi 10000

JUICE ZA MATUNDA,

Matunda ya elfu kumi hasa maembe na maparachichi unaweza kutoa hadi lita kumi za juice safi tunakadiria lita moja ni kutoa glass tano au nne za juice hivyo basi kwenye lita kumi unaweza kupata bilauri 40 ambazo ni sawa na elfu ishirini kwa bei ya 500 kwa bilauri moja ukitoa matunda,sukar na vigras unafaida elfu tano,

Hapa unaweza kujiongeza usiwaze kiudogo udogo.

Tengeneza channel ya wasambazaji unaweza kuanza Na mmoja, kabla ya yote pita mwenyewe kwenye vibanda ongea Na wauzaji wenye Majokofu unwaachia juice kidogo kidogo kama umeacha kumi anachukuwa moja kama umeacha tano unampa nusu ni mfano tu .

Halafu unakuwa unazalisha nakuweka kwenye vibanda panua soko taratibu.

Unaweza kuwa unapak kwenye mifuko kama maji ya kandole halafu unaweka ya 200 utauza sana

Comments

Popular posts from this blog

Rangi za plate namba na maana zake Tanzania

Ijue zaidi biashara ya juice