FURSA YA KAZI KWA WATANZANIA WOTE


TUWEMACHO ENTERPRISES
 COMPANY
Ni kampuni mpya inayofanya kazi ya kuuza bidhaa kote nchini katika maeneo yote ya Tanzania, inatoa fursa ya kuwaajili mawakala watakaofanya kazi pamoja na kampuni kutoka sehemu na pande zote za nchi katika maeneo yao bila kuacha shughuri zao za kila siku. Kampuni inahitaji wakala mmoja kila wilaya kwa wilaya ndogo na wawili kwa wilaya kubwa watakaofanya kazi na kampuni.
Baada ya kutuma maombi na kufanyiwa udaili wa taarifa zake kama ni sahihi atahitaji kujaza mkataba na kampuni wa kufanya kazi na kampuni yetu.
Bidhaa zinazouzwa na kampuni ni pamoja na
Kompyuta                   Simu                TV                   baiskeli                        pikipiki
Nguo                           viatu                mabegi             furniture                      vifaa vya umeme
Magari (used)                vitabu            spea n.k
Kazi za wakala zitakua
*      Watasajili wateja katika kampuni yetu kwa kuwasilisha taarifa zao.
*      Kuwasiliana na kampuni ili kuwasaidia wateja kwa kuwaelekeza namna ya kupata bidhaa na wapi pakuzipata kutokana na simu watakazopata.
*      Wataelimisha wateja juu ya utumiaji  wa kampuni yetu katika ununuzi wa bidhaa kwa njia ya mtandao katika kufanya oda mbalimbali.
*      Watawaelimisha wateja juu ya utumiaji wa kampuni yetu katika kununua bidhaa.
*      Watasajili bodaboda tutakaowatumia katika kufikisha bidhaa zetu kwa wateja wa derivery.
*      Watasajili watu wa magari kwa bidhaa za mbali zinazohitaji derivery na kufikishwa katika maeneo walipo.
*      Kutuma taarifa za maoni ya wateja sokoni pamoja na oda mbalimbali atakazohitajika kuagiza.
*      Kuhakikisha mzigo wa mteja umefika kwa muhusika kupitia code maalumu za bidhaa.

Usajili wa mawakala utahusisha mambo yafuatayo
*      majina matatu/mawili.
*      sehemu aliyopo (mkoa,wilaya,tarafa/mtaa.
*      umri.
*      Jinsia.
*      Ajue kusoma na kuandika.
*      Ajaze barua ya maombi atakayoipakua kutoka kwa wahudumu wetu na kuiscan kisha kuituma kwenye akaunti yetu whatsapp au email.
*      ambatanisho la barua ya maombi iwe na:
a.       namba ya kitambulisho (mpiga kura/taifa).
b.      passport moja juu ya barua.
c.       uthibitisho wa mwenyekiti na afisa mtendaji.

Vigezo
*      Awe na elimu ya kuanzia darasa la saba.
*      Awe na simu aina ya smartphone na uwezo wakuitumia katika masuala ya mtandao.
*      Awe na mdhamini (mwenye makazi ya kudumu na umri kuanzia miaka 25 na kufahamika kwa mwenyekiti na /au mtendaji).
*      Awe ni mwenye kuanzia miaka kumi na nane 18+
*      Awe mwenye akili  timamu.
*      Asiye na lugha mbaya.
*      Tutatumia taarifa zake kufanya uhakiki wa maombi.
Barua ya maombi inapatikana kwa kutuma neno NITUMIE BARUA YA MAOMBI kwa namba iliyoainishwa hapo chini.

Mwisho wa maombi tarehe 30/08/2019
Mawasiliano yatakayotumika kutuma maombi
Simu whatsapp:  +255762125819.
Email:  audaxdenis@gmail.com.

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

Rangi za plate namba na maana zake Tanzania

Ijue zaidi biashara ya juice

Namna unavyoweza kutengeneza biashara kubwa kwa kuanzia mtaji mdogo wa shilingi 10000