Posts

NAWEZAJE KUFIKIA KIWANGO KIKUBWA CHA MAFANIKIO?

Tamaa Haya sasa umepata wazo ukapambana na woga ukashinda na kufanikiwa kupata maamuzi ya kuanza kitu kingine kinachoweza kuleta shida hapa ni tamaa. Tamaa huja hasa katika upande wa mafanikio tena sio tamaa tu maana asiyetamani sidhani kama anaweza kufanya jambo kwakuwa mambo mengi hutokea si tu kwa sababu ya ulivipenda mwanzo mara nyingine ulitamani baadhi ya vitu kwake na kujikuta umeanza kuviingiza kwenye akili na kujikuta unapenda sana hicho kitu na kuanza kuhitaji kukitekeleza. Ila sasa kinacholeta shida ni kule kutamani kubaya (tamaa mbaya) ambako huja kwa mtu na kutamani kila kitu kiwezekane haraka haraka, yaani mtu anahitaji leo aanze leo hii aone matunda yake. Lakini mda mwingine mtu huipoteza fursa Fulani kwakupiga mahessabu ya mafanikio tuu na kuona anaweza kupata kiasi kidogo sana cha faida na kuamua kukimbia. Je umewahi kujiuliza ni kitu gani kimefanya usiwe mbunifu na kuleta mabadiliko makubwa kwenye jambo unalolifanya? TAMAA, tamaa amekuwa adui mkubwa sana kusababis...

NAWEZAJE KUFIKIA KIWANGO KIKUBWA CHA MAFANIKIO?

3. Maamuzi Katika kipengele kilichopita tumeona woga unavyokwamisha mtu kupiga hatua kuelekea mafanikio aliyoyakusudi, sasa hapa tutazidi kuona jinsi uamuzi wako ndio suluhisho kubwa la maisha yako. Mafanikio yote hutegemea maamuzi yako kufanikiwa au kutofanikiwa hutegemea uamuzi wako mwenyewe, maamuzi huweka malengo, malengo hutoa mwelekeo na mwelekeo huchochea kujituma na kujituma huchomoza mafanikio halisi. Lakini katika kuamua hapo ndipo watu wengi hujikuta wakifeli na kuaanza kumtafta mchawi wa maendeleo yao pasipo kujua kua maamuzi yao ndio yamewafelisha. Mtu mmoja huamua kufanya kazi kwa bidii, mtu mwingine huamua kuiba, mtu mwingine huamua kwenda kwa waganga ili apate pesa akiwa amekaa, hawa wote mafanikio yao yanakuja au yanaharibika kutokana na maamuzi yao. Hivyo suala la maamuzi ndio muhimili mkubwa wa mafanikio uliyonayo au kushindwa kwako kufikia maono uliyonayo. Kwakua tulishajua kuwa kila mmoja ana uwezo wa kuanzisha wazo na kufikia mafanikio, sasa tuangalie uamuzi na...

CHA KUFANYA ILI KUWA NA MAFANIKIO MAKUBWA KIFEDHA

2. WOGA Haya sasa baada ya kupata wazo la kufanya. Watu wengi nimegundua baada ya kupata wazo la kibiashara hakuna hata mmoja anayekua mzembe kufanya utafiti, hili ni jambo muhimu sana katika aina yeyote ile ya biashara au utekelezaji wowote. Jambo ambalo linaloleta shida katika utafiti unaofanywa na mwekezaji ni asilimia kubwa ya wawekezaji hutegemea kupata taarifa nzuri zinazoongelea kitu wanachohitaji kuwekeza: Kwanza kuona orodha za watu waliowekeza katika fursa hiyo na kufanikiwa. Pili kukutana na orodha ya faida zinazotokana na uwekezaji huo tuu na si tofauti, rejea kwenye mfano wa uwekezaji wa kuku hapo juu. Tatu kuona mchanganuo wa mapato makubwa yanayoweza kupatikana kwa mda mfupi endapo utawekeza katika fursa hiyo. Lakini leo nataka nikwambie kitu usichokipenda kukisikia hakuna biashara yeyote inayoweza kukufanya uwe tajiri inaweza kukupa majibu ya aina hiyo. Ukiona hivyo ujue kuwa unafanywa tajiri kimawazo na unaishia kuwazia kuwa tajiri tuu miaka yote. Watu wote walio...

NAWEZAJE KUFIKIA KIWANGO KIKUBWA CHA MAFANIKIO?

NAWEZAJE KUFIKIA KIWANGO KIKUBWA CHA MAFANIKIO? Katika tafiti na uzoefu nilioweza kupata nimegundua kuwa kila mmoja anahangaika sana kuhakikisha anafanikiwa kimaisha, labda akiwaza kuwa tajili kama Fulani au akihitaji kufikia ndoto Fulani katika maisha yake. Lakini mambo siku zote yanakuwa hivi asilimia ndogo huweza kufikia ndoto zao na asilimia kubwa uendelea kuota pasipo kuamka usingizini, na asilimia kubwa kati ya wale waliofanikiwa kufikia ndoto zao au walio karibu kufikia ndoto zao hudumu kwa mda kisha huyumba au hufirisika. Hapa nitaweka baadhi ya mambo ambayo usipoyaangalia kwa umakini yanaweza yakakufanya uendelee kuota tuu ndo pasipo kufikia hatima ya ndoto yako au kuisahau ndoto yako: Wazo Woga Maamuzi ya wakati Tamaa 1. WAZO Mara nying watu hutafuta wafanye nini yaani ni kitu gani wawekeze kwacho. Na hili limekuwa tatizo linalosumbua watu wengi sana kufikia hadi asilimia tisini. Hii imepelekea baadhi ya watu kuweka dau kubwa ili kununua wazo la kibiashara kuytoka kwa...

Siri whatsapp mbinu kamwe alijua

Image
Siri whatsapp mbinu kamwe alijua Siri whatsapp mbinu kamwe alijua Whatsapp ni maarufu simu ujumbe jukwaa mpaka sasa. Lakini unajua baadhi ya siri mbinu ya whatsapp ambayo inaweza kuchukua wewe ngazi ya pili. Hapa katika makala hii, i ni kuonyesha maarufu whatsapp mbinu Hadi sasa. Soma Whatsapp Ujumbe bila mtumaji kutafuta nje Washa ndege mode kwenye simu yako. Soma ujumbe Whatsapp Sasa, kurejea kwenye mode ndege tena. No, bluu kupe itaonekana na mtumaji hawatajua kwamba umesoma wake / ujumbe Whatsapp. Sasa, si zaidi ya kuandika inahitajika ili kutuma ujumbe Whatsapp Mara bomba kwenye sanduku ujumbe, icon mic inaonekana kwenye keyboard Bonyeza tu juu ya kwamba icon mic na tu kuzungumza ujumbe wako. Itakuwa moja kwa moja kupata typed na wewe kusema.

Secret whatsapp tricks you never knew

Image
Secret whatsapp tricks you never knew Whatsapp is the most famous mobile messaging platform till date. But do you know some of the secrets tricks of whatsapp which can take you to the next level. Here in this article, i am highlighting most famous whatsapp tricks So far. Read Whatsapp Messages without the sender finding it out Turn on the flight mode on your phone. Read the whatsapp message Now, turn on the flight mode again. No, blue ticks will appear and the sender will not know that you have read his/her whatsapp message. Now, no more typing needed to send whatsapp message Once you tap on the message box, the mic icon appears on the keyboard Just click on that mic icon and just talk your message. It will be automatically get typed as you speak.

Muhtasari kwa kifupi ya Kant lazima bila kujalisha

Muhtasari kwa kifupi ya Kant lazima bila kujalisha Muhtasari kwa kifupi ya kuchukua Kant lazima bila kujalisha Immanuel Kant juu ya maadili inasimama tofauti kabisa na maoni utiliarianist ya Jeremy Bentham. muhimu yake categorical ni yenye msingi katika uwajibikaji kimaadili nadharia, kumaanisha kuwa inatokana na dhana kwamba kuna baadhi ya lengo ni masharti ya kimaadili katika dunia. "Diontolojia" linatokana na neno la Kigiriki "deon" maana wajibu - kwa maneno mengine, deontologically nia wanafalsafa kuamini tuna wajibu wa kutenda katika njia fulani, kwa mujibu wa sheria za kimaadili. toleo Kant kuna uwezekano ni wengi maalumu, na hutegemea sana wazo lake kwamba watu wote kimsingi uwezo wa hoja kwa namna na katika ngazi moja. Ukanti inalenga zaidi juu ya dhamira na hatua yenyewe, kinyume na lengo consequentialist ya utumikaji. Moja ya maeneo ya msingi ya Kantian maadili ni, kimsingi, kwamba lazima kamwe kutibu binadamu mwingine kama njia ya mwisho - wazo hili lipo...