Posts

FURSA YA KAZI KWA WATANZANIA WOTE

Image
TUWEMACHO ENTERPRISES   COMPANY Ni kampuni mpya inayofanya kazi ya kuuza bidhaa kote nchini katika maeneo yote ya Tanzania, inatoa fursa ya kuwaajili mawakala watakaofanya kazi pamoja na kampuni kutoka sehemu na pande zote za nchi katika maeneo yao bila kuacha shughuri zao za kila siku. Kampuni inahitaji wakala mmoja kila wilaya kwa wilaya ndogo na wawili kwa wilaya kubwa watakaofanya kazi na kampuni. Baada ya kutuma maombi na kufanyiwa udaili wa taarifa zake kama ni sahihi atahitaji kujaza mkataba na kampuni wa kufanya kazi na kampuni yetu. Bidhaa zinazouzwa na kampuni ni pamoja na Kompyuta                    Simu                 TV                    baiskeli          ...

FAIDA YA NGUVU ZILIZOMFUFUA YESU

Bwana Yesu asifiwe milele! Faida nyingine unayotakiwa kunufaika nayo unapokuwa unazo ndani yako, nguvu zilizomfufua Yesu ni hii: *“Imani uliyonayo kwa Mungu, katika Yesu Kristo, na katika neno lake – inapata uhai na inakuwa na uwezo wa kuzaa”!* Hii ni kwa sababu biblia inasema “tena kama Kristo hakufufuka, basi, kuhubiri kwetu ni bure na Imani yenu ni bure” (1 Wakorintho 15:14). Hebu oanisha maneno ya mstari huu na maneno ya mistari hii: “Imani isipokuwa na matendo, imekufa nafsini mwake” (Yakobo 2:17). “Lakini wataka kujua, wewe mwanadamu usiye kitu, kwamba imani pasipo matendo haizai?” (Yakobo 2:20). “Maana kama vile mwili pasipo roho umekufa, vivyo hivyo na imani pasipo matendo imekufa” (Yakobo 2:26). Imani uliyonayo kwa Mungu katika Kristo, na katika neno lake inatakiwa iwe hai! Imani yako hiyo isipokuwa hai ndani yako ni bure…yaani inakuwa haina faida kwako, wala msaada wowote kwako! Ina maana ni imani usiy...

1.FAIDA YA NGUVU ZILIZOMFUMFUA YESU

Hili ni somo lililofundishwa Na Mwl Mwakasege nakuletea ujifunze kitu naanza Na sehemu ya kwanza Bwana Yesu asifiwe milele! Je umeokoka? Ikiwa umeokoka, ujue basi ya kuwa, nguvu za Mungu zilizomfufua Kristo toka kwa wafu, zimo ndani yako! Nguvu hizi zimebebwa na Roho Mtakatifu aliye ndani yako! Hii ni kwa sababu imeandikwa hivi “lakini ikiwa Roho yake yeye aliyemfufua Yesu katika wafu anakaa ndani yenu yeye aliyemfufua Kristo Yesu katika wafu ataihuisha na miili yenu iliyo katika hali ya kufa, kwa Roho wake anayekaa ndani yenu” (Warumi 8:11). Je, unajua faida kwa ajili yako – sasa wakati huu – yaani katika ulimwengu huu, kwa nguvu za Mungu zilizomfufua Kristo kukaa ndani yako? Na kama unazijua – je; unazitumia na kufaidika kwa kiwango kipi katika maisha yako? Hebu tafakari faida chache zifuatazo: *Faida 1: Nguvu zilizomfufua Yesu zilizomo ndani yako zinakupa uwezo wa kukusaidia kubadili mfumo na kiwango chako cha kufikiri!...* ili uwe na mawazo yaliyo ...

USAJILI MPYA WA LAINI

Image
Mitandao ya simu imetoa taarifa za kusajili laini yako upya kwa mfumo wa vidole soma hapo chini

Matendo ya mpasayo kutenda au kuacha kwa muislamu (akhlaq)

Matendo ya mpasayo kutenda au kuacha muislamu [Moral obligations ( akhlaq )] Hizi ni sharia ambazo kila muislam azitimize, na sharia hizi zinaelekea kufanana na za kitabu cha agano la kale. Baadhi ya sharia kama kutokuua, kutokuiba, kutokushuhudia uongo zote pia zinapatikana katika quran na kitabu cha agano la kale, mfano wa sharia zile zinazo patikana kwenye sura 17:31-39 zimebeba maneno mengi yanayopatika kweneye agano la kale. Ili tendo lolote kuhukumiwa ni zuri au baya linategemea taratibu zilizowekwa ambazo zimegawanyika katika makundi mawili; zile ambazo ni nzuri yaani zinazoonesha unyeneyekevu wa mwanadamu kwa Mungu nazo huitwa mar’ufat na zile mbaya zinazoonesha uasi wa mwanadamu kwa Mungu hizi huitwa munkarat. Sehemu hiyo ya kwanza bado huigawa katika sehemu nyingine tatu: 1.       Fardh: haya ni yale matendo ya lazima kwa kila muislamu kama kujitimiza nguzo tano za uislam hapa mtu ataadhibiwa kwa kutokuzifuata na kufuata mafundisho ya uislam...

Umekua ukiwaza juu ya mafanikio yako? jifunze jambo hapa

Mafanikio ni nini? Nimekaa nakuwaza kwanini kila mmoja anataka kuafanikiwa? haijalishi watu wote hutamani kufanikiwa lakini waliofanikiwa bado si kila anaetaka kufanikiwa yaani leo huyu kafanikiwa huyu kaachwa na yawezekana wote walikua wanapambana kwa pamoja au yawezekana walifanya aina moja ya shughuri lakini katika suala la kufanikiwa huyu yuko juu huyu bado analia.  kuna vitu kadha nataka nikushuhudie utaviangalia kwa mda wako utagundua jamboleo naanza na jambo moja  MARAFIKI Kati ya vitu ambavyo hujui vimekuweka hapo ulipo na kukufanya uwaze au usiwaze zaidi ufanikiwe au uzidi kua wakulialia  ni aina ya marafiki unaowashikilia na namna unavyoishi nao. Unaweza kusema huyu anajaribu kusema nini hebu endelea kusoma nikupe ushuhda utakusaidia kufungua akili yako ujue kua ninachokwambia kina ukweli ndani yake.  katika ulimwengu wa marafiki kuna aina tofauti tofauti zaidi ya kumi,  leo nitakupa aina mbili tuu za marafiki siku nyingine nitakupa ...